
Nikiwa na 10k sai naweza I break down into small uses ndio nimanage hustle yangu,,,
1....2000 nitatumia kulipa deni nilikua nayo ndio credit score yangu izidi kuwa clean 💯 2.....5000 nitalipa rent ya my small stall penye natumia kuchapa hustle yangu ya kusuka nywele💪💪ndio nikuwe na easy time Kwa #mboka 3.....3000 nitaenda wholesale nijaze #stock ya nywele za kuuzia customer, washing detergent na pia mafuta ya kazi alafu niongezee vichana 4 za job
0
0
0