Nikiwa na capital ya 6-10k naeza anzisha hustle gani fiti yenye inaeza niingizia atleast kitu on a daily basis?