
Niko 2 years saa hizi hapa mesh. And kuna zile tip hii platform imenijenga nayo and nimeweza ku implement kwa biz and pia personal life. Kuna pinned post kadhaa from team mesh zenye naeza amplify hapa zenye zilicome timely.
- Kwa biz, kitu ya kwanza niku take risk, chapa stuff zenye ni out of comfort zone.
- Weka record, hii nilicheck kwa segment ya shujaaz biz and hii nayo imekuwa ndio una gauge vile biz ina perform. *Savings, though nayo hii nimekuwa na approach ya invest more than save juu like saa hizi the 20k ya kitu Jan 2021 haina same value na saa hizi due to inflation but uki invest ina grow and ku beat inflation thank to mesher mwenye alishare hii tip
So far ni tip gani unique wewe ume learn hapa mesh. #Tujengane

0
0
0