
Niko at the lake region,nanunua omena kwa price ya beach gunia mzima na kuuza na profit major towns. Lake iko na potential watu wangu. Nadai wasee kadhaa tu invest doh tununue fish fresh kibao na tu transport kwa refrigerated vehicle mpaka mtaani na wengine huko mtaani watupeleke kwa wanunuzi.
0
0
0