
Niko dandora karibu na dandora stadium , nilikuwa nauliza ni nini ingine naeza uzia spectators uko ndani apart from kahawa na sambusa?...na what are the challenges ?...me nilikuwa nafikiria mala baridi naziweka kwa hizi disposable kama yoghurt na tukeki but sasa sai baridi most natafuta akternative
I do homemade mala
0
0
0