Niko kwa biz ya outside na catering na biz ni among zile ziliaffectiwa na Covid but bado tunapambana na najua tutarudi form. #challenge #Shujaa #Goldengrill