“Niko kwa farming biz na napanga kufungua branch ingine na kuongeza stock. Nimepanga kuchukua loan ya kama 40–50k, nilenge kulipa 10k kwa mwezi kwa miezi 6 kutoka extra profit ya karibu 16k. Ili kulinda biashara, niliweka rules za credit: mteja haendi zaidi ya 500 na lazima alipe ndani ya siku 14, na wengine wanalipa kwa mazao (mfano ndizi) halafu nauza nijilipe. Na-share hii story kusaidia Mesher mwingine aone vile loan inaweza tumika vizuri bila kukusuffocate.”
0
0
0