Niko kwa group flani mtaa na tunataka kuanzisha biz ya kufuga kuku za kienyeji ka kuna mtu anaeza nisaidia with "do" and "dont's" itakuwa fiti