Niko kwa ile group flani ya Jengwa Advice,, pale nimegain alot of advices na pia nakaget chance ya kupea wasee advice kwa biz zao,, advices ziko pale ni legit na zinajenga💪💪💪