Niko na 100k ,nataka kuanza biz,,mimi ni youth na nilikua naona niyze cladi..how do you see about that,,ama biz gani inaweza rudisha pesa na starting capital ya 100k?