Niko na biashara ya kuuza nguo at least hiyo idea ya wanamesh kuapply dough itatusaidia kuupgrade business zetu