Niko na biz ya kuku na niko na target ya kupata plot nayo. Worry ni kuwa manze napea vaccine lakini bado zinadai rate ya ju mpaka nafil kugive up. Nijenge na idea watu wangu?