Niko na biz ya kuuza,smokies na mayai bt for now haiendi kama kitambo azn macustomers wamepungua sana naeza fanya nini ili biz angu irudi ka kitambo??