
Niko na biz yangu ya #mandazi inaitwa #Okobran Ndunya Enterprise 💪with 10k hii time chuo zimefunga na pia ni season ya festivities 💯💯 inaweza nisaidia vinoma sana 💪 *nitajaza stock yangu as follows; bale ya wheat flour @2500 cooking oil 10L @3500 gas huwa na refill twice kwa mwezi nitalipa in advance for 2200 *packaging bags @500 za miezi ka tatu hivi *kuna msee hunisaidia kuchapa #hustle nitamlipa hiyo 300bob ya siku tatu


0
0
0