Niko na hii idea ya Kuanzisha small restaurant area ya Mathare North. Kuna potential mob. Naseek Advice ama kama kuna msee ako izi area na ako na experience tufanye partnership.