Niko na idea ya kufungua car wash,.space nishapata,water tank nishapata ambapo saizi challenge iko ni ile mashini ya kuosha magari na carpets coz at the moment am thinking of starting with whatever is there but goal yangu ni ni car wash machine.
0
0
0