Niko na idea ya mass employment. Not more of a Business idea per se lakini kitu inaeza help solve unemployment mtaani na kusolve issue ya medicare mtaani. Izi ni gap ukitembea mitaa yote ziko na ni kitu as much as tunafanya izi SME tuwezi Hii solve.
Issue ya fao nimeidentify some FBO zinaeza nipea grounds na non financial support ya hii mradi. Issue ni kupata Financial aid.
Idea ni kuanzisha Drug store mtaani inaeza uzia watu wa mtaani original drugs not generic at an affordable prices na pia kuwa na clinic pia itaoffer medicare at an affordable prices.
0
0
0