
Niko na idea ya online micro tasks yenye haitaki skills bora tu ukue na net na comp ama lapi,though wasee wengi hutumia pia simu kufanyia hizo tasks. Kuna hii site inaitwa Picowokers nimekuwa nikitumia from last year na imekuwa ikinisaidia sana. Fanya research kuhusu hii site na ucheki vile itakusaidia pia. Ukitaka kujoin then ndo hii link.
https://picoworkers.com/?a=...
Kuna options nyingi Picowokers ndo rahisi bora tu ukue na Bitcoin ama Litecoin wallet. Pia paypal but si saana

0
0
0