
Niko na idea ya venye unaeza tengeneza logo ya business.
First msee anacome up na idea ya job then after how your life has come into contact na wewe na vile umekuwa ukirespond to it.From that unaderive na the past story za vile umekuwa ukihandle maneno yako now from that utaeza kutengeneza logo yako according to designs colour na shape ya chenye ungependa kutengeneza then there you have your logo.

0
0
0