
Niko na kiulizo, kustay current na industry trends ama kama umeivishia craft yako na unajiamini we ndo ule msee, gani hua inaplay role kubwa ndio tukukubali as a big wig msanii mkubwa? Take for example usanii, kuna zile flow na sheng ya kitambo, alafu kuna hii sheng ya millenials, hii inaplay role kweli? My pal hapa tumebishana sana buana

0
0
0