Niko na kuku nataka kuuza hii season ya December but sijui bei iko aje kwa soko. Mnuaza aje kuku ya kienyeji per kg ndio nijue?