Niko na probox gari mzuri sana so challenge na face saizi sina capital ya kuanzisha biashara coz niko jobless almost one year now so am asking kama kuna mtu anaweza taka mtu wakazi nakuja hadi na gari yangu yeye atalipa tu mshahara na kuweka gari mafuta pekee gari najitolea
0
0
0