
Niko na proposal; challenges ziko sawa. We are happy participating but amount awarded ni kidogo sana. 500 & 200 okoa jakazi inakula zote!! What if muongeze wa kwanza apate 10k, 7k, 5k, 2k ilikuwa Poa. Mtu akiwin 5k aneza nunua mbuzi akijiambia I bought 🦙 from MEsh. Kindly na suggest tu hivo. Nimekuja kwa amani.
0
0
0