Niko na swali ,,an affiliate marketer anafanya aje ndio apate customers juu waah the world has changed na watu wanafikiria every online business ni scum sa mm napata challenge ya kurecive clients