Niko na swali kwa meshes wanauza viatu
Recently niliona clip hapo tiktok ya lady mwenye anauza viatu akilia kuwa stock yake yote inachukuliwa kwasababu anauza viatu fake ,not licenced.
Kwa meshes mko na license ya kuuza viatu.
Hii kitu ilinipea stress kwasabau hii ni maajabu tena
0
0
0