Niko na swali kwa wasee wetu wa M-pesa,,, 🤔🤔 Nadai kwanzisha hii biz kama agent wa Saf,,,,, si mnichanue ni nini nadai kuwa nayo ndio hustle ianze,,, remember sina room ya kuweka bado🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️