
Niko na swali. Wasee wengine wanajua ile opportunity iko MESH? Young people wanaumia manze na hawajui kama kuna places kama hizi watu wanaget support, opportunities na skills
Lets share wasee.......#MESHmentorship kali sana...moto kama pasi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
0
0
0