Niko ushago ,na hakuna mtu anajuwa mambo na Ai .Nimeshangaa sana hata hawajui chatgpt common used .hata my brother mwenye ako form 3 hajui chatgpt . I feel kuna gap kubwa sana in term of innovation .