Niko ushago na network huku ni 2G bana πππNdio maana watu wa ushago huwa hawapendi online marketing
Ukibuy unalipa cash ,hawataki mpesa pia π