
Nikona a friend aligraduate from uni in 2020 na degree ya public relations and diplomacy. Amechapa hustle ka marketer,amehustle online na pia anaendelea kusoma online free courses kuimprove knowledge na skills zake. Hizi gigs hukam na zinaisha so anasaka a full time job. She's flexible na anaeza chapa hustle yoyote, good public speaker,fluent na hardworking. Anyone mwenye anajua of any vacancies amsaidie please coz ananineed job
0
0
0