Nikona place ya pool table wasee hukam kujibamba ni room kubwa . lakini nikapata idea nikiweza pata boost kiasi niweke screen wasee wakue wanawatch ball nalipisha 30 ama 50bob itaweza juu place niko hakuna mtu anaonyesha ball mimi ndo ntakua wa kwanza na najua itapick sana ni place ikona students wengi sana alafu kuna security...thanks
0
0
0