Nikona shop ya viatu CBD but nataka kuifunga juu naona wasee wengi wanaoder viatu online nikifanya delivery Shida ni ati nikona clients wanataka physical shop ndio waone kiatu wanabuy ka inafanana na pic umewatumia. Mnijenge na advice pliz
0