#Nikonadream Niko na dream ya kufungua studio siku moja. Studio itasaidia watu kwa videography, photography, graphic design, 3D Animation na Audio Production.
Najua itakam through.