
Niladvice mayuths especially wasikae wakiwait white collar jobs instead wajishughulishe na kazi ya mkono ata ka no kutengeneza gravel/kokoto, kuuza chai na mandazi/kangumu, Kisha kuwekeza akiba kupitia chama ndogondogo...kazi ni kazi bila ubaguzi,bora kujipa riziki kwa kujikakamua unavoweza.
0
0
0