
Niliamua kufunza watu kuhusu kutengeneza doh kwa crypto na forex but nimerealize some people just can't push themselves.
Naelewa kuna commitments us being adults but kujituma ni muhimu.
Classes ni tatu per week za 1hr at your convenience but msee bado hawezi sacrifice atokee. Nilianza na 7 guys but only 2 wamebaki.
Bila discipline ku-make it kwa biz yoyote ni ngumu sana.
0
0
0