Nilianza biashara kitu ka 2yrs ago alafu hio business haikukick venye inafaa hadi nilienda loss so nikaachanga hio biashara kwanza alafu kitu ka October kuna wasee waliniadvice nirudie hio bizz na wakapromise kunimarket hadi wako kwa hii mesh life so kitu ka January hapo nusu nikaomba loan kuexpand bizz yangu nikafungua branch mbili .so far business iko fiti nadai kufungua branch ingine hii month hadi plus nimenunua business cars mbili na my own personaly through hio profit nimekuwa nikipata hadi nimajengea shosh ka mini house mazee..walai na thank kwanza God alafu pia wale mamorio wangu plus mesh life mazee thanks na mubarikiwe
0
0
0