nilianza biz ya smokie mtaani kisii but imeanguka manze juu ya kuhama kuenda place ingine watu hawapendi smokie.....sa nilitaka kuuza hii stand ya kupika smokie ...kama uko interested we can negotiate