
Nilianza hustle yangu ya Sungura yanu Viniculture in October 2024 hapa kakamega Reason ni ku encourage watu wa eat healthy ndio kaekae kiasi healthy. Manure na urine yake ni poa sana kwa organic farming. Sungura wananibamba , Makita kuzaa hawana stress wanajupanga . I love my sungush, they give me manure for the garden and urine as foliar feed and insecticide for my mboga, and the Rabbit meat is fantastic " just out of this world" you should try it.
0
0
0