
Nilianza Nick Internet Hub kwa sababu nilitaka kusaidia watu wapate bundles, SMS, na dakika kwa bei nafuu bila stress hata wakiwa na okoa jahazi kubwa.To make sure everyone is accessing safaricom services even with their huge okoa jahazi or expensive packages.Kila siku, kinachonipa nguvu ni kuona wateja wangu wakifurahia huduma zangu na kurudi tena na tena. Ninapenda sana hustle yangu kwa sababu inanipa nafasi ya kuwahudumia watu, kuwa sehemu ya maisha yao ya kila siku, na kujenga mahusiano mazuri na wateja wangu. Hakuna kitu kinachonifurahisha kama kuona mtu akisema, "Asante sana, umeniokoa leo!"—hapo najua kazi yangu ina maana! Am proud of my Biz for when I think of quitting I remember that am important to my clients. I provide them with my services so that they can run their biz online widely and accesss customers too. Thanks for being my clients and your trust. Just know your trust in me motivates me a lot. #LoveYourHustle

