
nilianzisha biz na mayai tray moja after outbreak ya covid 19,nikachukuwa tray moja after that nikaona zinasonga fty but after like three rounds nikaamua nichukuwe trays Saba what happened after that nilikaa na hio stock for another 3weeks before yaishe,, this was a mistake yenye siwezi repeat tena.
0
0
0