Nilicheki biashara ya kutengeneza liquid soap imeshika sana hapa mtaani. Ni biashara gani inashika mtaa yako saa hii?
#Biz #Biashara #GrowBiz #MyHustle