Nilichelewa kulipa loan ya mshwari ya 2k. Sikuwa nimekumbuka kulipa and then I was tight on cash. Nikapata message ya kuniambia Niko kwa CRB sababu sijalipa mshwari. After kulipa I had to wait for almost a month before niweze kupewa loan on any other platform
0
0
0