
Nilijaribu ku run biashara na power cuts wueh let me tell you maina nilijua stress ni real...Solar imenifundisha kitu moja muhimu..peace of mind huleta profit
Hakuna downtime na hakuna kulost sales juu token imeisha...Nilikuwa nalipa bill kubwa ya stima kila mwezi but sai system inajilipa polepole na hizo doh sai zinabaki kwa biashara
Solar iko na faida mingi, lakini pia haikosi challenges... Gharama ya mwanzo inaweza kuwa kubwa, especially ukitarget system yenye inabeba biashara yote..Pia panels lazima ziwe safi na system ikuwe serviced from time to time, otherwise performance inadrop
Na kama huna space ya rooftop ama uko kwa nyumba ya rent, installation inaweza kuwa tricky but unaeza anza small na system ndogo ya kushika lights, POS na machines muhimu, alafu unaiexpand polepole ukicollect profit...Pia check financing options kama pay-as-you-go solar au supplier wa solar-as-a-service, inakusaidia kuavoid heavy upfront cost...Ukienda hybrid na grid, unapata reliability bila kustretch budget sana, na after system kujilipa, power inakuwa free asset ya biz
If you want a better control of your business you can consider solar panels
#SolarHustleChallenge