“Nilijaribu kusaidia comrades kwa kuwapea PS5 na TV ya 55 inches wafanye biashara ya game nights. Walikuwa wanacharge 800 usiku kucha hadi asubuhi. Lakini baada ya kupewa vifaa, walizima simu na kutoweka na everything. Swali ni: Katika hali kama hizi, comrades wanawezaje kusaidiwa ama kuaminiwa bila trust kuharibika?”
0
0
0