
Nilikam up na car wash, so iyo place niko nakuanga mechanic na pia nikona iyo place ni busy coz ya ngari zenye huwa zinakam apo ni mob, so nikaamua kuperchas merchine moja na nikasaka boy wangu na ivio to ndio job ilianzanga Sai ananipiangianga to salute
0
0
0