Nilikosa kulipa one time loan ya zenka sema simu kupigwa all the time ikabidii nikawekwa crb coz I didn't pay there Money for a whole year. After kuwekwa crb I couldn't get any loan app kunipea dooh kila yenye nilienda wanasema you don't qualify for a loan at the time . Life ikanigonga really good wakati one of my siblings alikosa fee na alikua almost kufanya kcse nilifikiria hard place ntatoa dooh but finally . I got a guy akanipea so from that day on nililipa hio deni first so that niqualify kwa other loan apps . Kuwekwa crb si kitu mzuri manze I learnt from my past mistake 🤞#CRBmanenos
0
0
0