Nilikua nafanya kwa mpesa Alafu nikiwa nimetulia nikaona message kwa simu ya mpesa mtu amewitdraw 50bob . Nikatulia Incase ni mtu alikua na agent number amewitdraw kutoka kwa nyumba atakujia baadae Kidogo naona call kwa simu yangu number ilikua landline Wakanicall wakanishow ni saf na Kuna customer amewitdraw 50bob by mistake anataka reversal wakanisomea details zote za huyo msee Nikawauliza wamepata aje number yangu wakanishow ATI system imedetect number iko karibu na hio number ya mpesa kidogo wakanishow watanisomea numbers kadhaa ni dial kwa hio simu ya mpesa ikafika point wakaniuliza nibaki na float ya ngapi nikawashow wakanishow ikifika place inauliza amount nisieke hio 50 bob wananipea code specific wakanisomea 0000023455 na ni ivo waliniosha 23k ya float Stay vigilant