Nilikua napata job za club Photography sana, vile curfew iko weekends no club are hiring photographers as much, saaai ile extra cash nilikua napata inakua hard kiasi.