Nilikua nianze biz ya viatu but tangu mafuta ipande nilienda kuchukua stock nikapata mali imeongezwa bei ata sikuchukua. Gava inafaa ishughulikie ii stori