Nilikuwa almost kugive up na maisha,lakini mesh imenisaidia kuinteract na watu na kushare business ideas.Sai nimeweza kusonga kiwango naendelea kugrow biz angu